Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wachezaji wanataka asajiliwe namba 9 kwa sababu Karim Benzema ana matatizo. Hakuna anayependa kuteseka. Amechuja. Na hilo ndilo linalowafanya wachezaji kutaka asajiliwe mshambuliaji mwenye uwezo wa kufunga mabao mengi,” ilibainisha taarifa ya kutoka huko Bernabeu.
 
Mchezaji ambaye wengi wametaka asajiliwe ni (Robert) Lewandowski.”

Kuhusu umri imeelezwa wachezaji hao hawakuwa na shida kwani, Ruud Van Nistelrooy alisajiliwa akiwa na umri wa miaka 31 na bado alikwenda kucheza kwa kiwango kikubwa sana kwenye kikosi

hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…