Hapa bhana sikua huko ninapo pakaziwa...... Hahahah eti nimelimaSi ulipotea mwezi muhimu kabisa ule december ipo vizuri
Mzima?miss u too
Nimesha karibia sasa jamani nipeni muda nipumzike 😀[emoji23][emoji23][emoji23]si tunakukaribisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kweli bro nimerudi vile vile tuInasemakana umerudi kutoka MZA ukiwa umekonda. Ni kweli bro?
Kwa comment hii atarudi Mwanza tenaHauishagi...
Maziwa mgando, karanga mbichi, miwa na wali wa nazi atakuwa OK. Baada ya wiki moja tu si ajabu utamsikia tena kuwa yuko MZA [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha yapo njema anko,,tunamshukuru Mungu tunapambanaPilika pilika za kuongeza maarifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa vyema broHeheh nikipata muda nitapekua page moja baada ya nyingine maana inawezekana nimepakaziwa sana na hashtag zikawekwa
Kijana wangu mpole, usiye jua kudanganya wala kukwepa kujibu maswali,uzinduzi umekwendaje huko? Unadhani utarudi tena? Kona ya "bwiru" achana nayo, usiisimulie maana kila mtu anaifilu vile apitavyo.... Kujibu sio lazimaNimesha karibia sasa jamani nipeni muda nipumzike 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rooooshiiiiiiiiiii !!![emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa bhana sikua huko ninapo pakaziwa...... Hahahah eti nimelima
Kwema sana, hofu kwako
Mtangulize Mungu[emoji120][emoji120]Hahaha yapo njema anko,,tunamshukuru Mungu tunapambana
Ni kweli ndugu yangu,,bila yy sisi hapa sio kitu!Mtangulize Mungu[emoji120][emoji120]
Enhee