Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ushawahi kukutana na mwanamke anakwambia anasomaga Chuo halafu anakutumia text inasomeka hivi....

"Za hasubui Mupenzi,

Humehamkaje, nirikuwa nakusalimiha tu hafya vipi?"

*Aisse hapo utajua kwanini Bob Marley aliimba "No Body Can Stop Raggae
 
Una matatizo gani ninge?!!!
Au unatamani ungelikuwa ni wewe[emoji1][emoji1][emoji1]
Acha tu Ankoo,,natamani sana ningekuwa mm [emoji23][emoji23][emoji23]

Tazama hii hali
tapatalk_1544554107944.jpeg
 
Utekwaji wangu ule bro ulikuwa funga kazi...Mpaka nywila ilibidi niwe naomba rukhsa....Tamaa ya misambwanda hii itakuja kutuua aisee [emoji16][emoji16][emoji16]

View attachment 991418
Niliona bro,,ilibidi tukuombee ndugu zako maana utekaji ule ulikuwa sio mchezo,,nilikuwa nakukuta kwenye uzi ule wa nyumba ni choo nikawa nacheka tu zile comment zako [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom