myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔✔
Halafu inaonekana mbegu nilizopanda katika utekwaji ule zimejirutubisha na si ajabu kutakuwa na mavuno baadaye mwaka huu. Mungu ni mwema bro!!!Niliona bro,,ilibidi tukuombee ndugu zako maana utekaji ule ulikuwa sio mchezo,,nilikuwa nakukuta kwenye uzi ule wa nyumba ni choo nikawa nacheka tu zile comment zako [emoji23][emoji23][emoji23]
Kapumzike bro...Niwatakieni usiku mwema ndugu zanguni
😂😂😂😂Mume: Hallo my queen...
Mke: Nambie my darling...
Mume:: Nimekumiss honey...
Mke:: Hatamimi nimekumiss ile mbayaaa..
Mume:: Samahani mke wangu leo sitaweza kurudi nyumbani nitakuja kesho asubuhi..
Mke:: Unasemaje? na uishie huko huko ......kalale kwa hao hawara zako.....mwanaume mmbaya wewe kama Sokwe ...sijui hata ni Shetani gani alinishawishi hadi nikaolewa na Sokwe kama wewe.... yaani najuta .....sikupendi kabisa toka ndani ya Moyo wangu....Sikupendi hata kidogo..... Naogopa hata watu kujua kuwa umenioa.....naona hata aibu..
Mume:: Punguza jazba mke wangu...niko Bank.....kunafoleni ndefu sana......
Mke:: Ahh!! pole sana darling.....nakuonea huruma handsome wakipekee....but baby...usisahau kuniletea pesa kidogo.....ninashida na laki 2....halafu kuna ile elfu 70 anayonidai mama Amina leo alikuja kunikumbusha....
Nimekuandalia maji ya moto sweetie ukijakuoga mume wangu kipenzi.....then ukumbuke kuniletea chips na kuku wa kuchoma gengeni...nimemiss sana....Nakupenda sana Mfalme wangu....
Mume:: Ni Bank ya kuchangia damu...
Mke:: Na wakutoe yote....bora ufe tu....hunafaida yoyote...nyoo..potelea mbali ......mijitu mingine bhana!!!!
wanawake mungu anawaona
Haya mamisambwanda tunakulagaaaaa...literally [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Aisee ...
Usijari bro maisha ya huku ndani tunajuana wenyewe wala hakuna kilicho haribika.....Kapumzike bro...
Tumekutania sana. Naamini hujakwazika...
Karibu tena Rocky City bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
✔Slei kwini akiwa sokoni Kariakoo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 991437
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Usijari bro maisha ya huku ndani tunajuana wenyewe wala hakuna kilicho haribika.....
Shukrani nitakaribia tena na tena kikubwa tuombe uhai
😂😂😂😂😂😂Ushawahi kukutana na mwanamke anakwambia anasomaga Chuo halafu anakutumia text inasomeka hivi....
"Za hasubui Mupenzi,
Humehamkaje, nirikuwa nakusalimiha tu hafya vipi?"
*Aisse hapo utajua kwanini Bob Marley aliimba "No Body Can Stop Raggae
Duh!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaah ankoooView attachment 991406
Kamevutikaa......