myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
duh! hayaWANASEMA hivi, lisemwalo lipo na kama halipo basi litakuja tu.
Huko Barcelona kwa sasa kumekuwa na taarifa kwamba wamechungulia kote na kuona kwamba straika wa Tottenham Hotspur, Harry Kane ndiye mtu mwafaka wa kwenda kurithi mikoba ya Luis Suarez kwenye kikosi chao.
Poleni wafanyakazi wooote..