Tayari wamesharekebisha tangazo lao na sasa lina muda kamili (Saa 7 mchana mpaka saa 12:30 jioni). Natumaini ni muda muafaka kwa ratiba yako. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Namshukuru Mungu kwakweli msukuma sijui upande wako
Nataka nijue mda wao ili nikitoka kanisani asubuhi naweza kuwepo
Asante sana msukuma [emoji120][emoji120][emoji120]Tayari wamesharekebisha tangazo lao na sasa lina muda kamili (Saa 7 mchana mpaka saa 12:30 jioni). Natumaini ni muda muafaka kwa ratiba yako. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 991861
Aaaamen. Nenda ukapande na kuvuna. Mimi pia nitakuwepo. Hebu na tukabarikiwe sana siku hiyo na neno la Mwalimu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Asante sana msukuma [emoji120][emoji120][emoji120]
Huo muda mzuri sana kwangu nitakuwepo
Ameen msukuma [emoji120][emoji120][emoji120] tuzidi barikiwaAaaamen. Nenda ukapande na kuvuna. Mimi pia nitakuwepo. Hebu na tukabarikiwe sana siku hiyo na neno la Mwalimu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Habari yako bi dada[emoji120][emoji120][emoji120] Tubarikiwe sote msukuma nitafurahi ukinijulisha natamani ianze saa sita mchana.