Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
4. 'Black hole'
Mashimbo ombwe ya anga za juu, au Black hole yametumiwa sana katika nadharia nyingi - kuanzia kwa nyota ya nutroni kutumbukia kwenye shimo ombwe la anga za juu hadi kwa shimbo lenyewe kuporomoka au kitu kisichofuata fizikia ya kawaida (dark matter) kugonga shimo kama hilo au kutumbukia eneo kama hilo