Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kikukuu nimeona
Inasemekana T.I kidogo avunje ndoa yake hapoKikukuu nimeona
Ni halila bro,,chuma kama hiki hauwez kukifananisha na mhenga Tameka...T.I yupo na Tameka kwa kuwa alikuwa nae muda wote akihustleInasemekana T.I kidogo avunje ndoa yake hapo
Kuna mibaraka mingi kwa kuwa loyal kwa mtu ambaye mmesota naye pamoja. T.I kafanya vyema. Hawa thots maslei kwini hawaishi hawa na kila siku wanazaliwa.Ni halila bro,,chuma kama hiki hauwez kukifananisha na mhenga Tameka...T.I yupo na Tameka kwa kuwa alikuwa nae muda wote akihustle
Jamaa kwa kweli nimemdiss sana alikuwa na Tabia mbaya sana, tukija Pata mabinti tujaribu kuwalinda na Mungu akatusaidie kwa kweliRIP Tortured/Abused soul...
F**ck R.Kelly....