Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Majambo yanasogea broKwema bro,,habar yako??
Weekend vp huko
Kweli bro,,masley qwin wapo tu na wanazaliwa kila siku,,ila kumpata kama Tameka,,kwenye kumi kuna mmojaKuna mibaraka mingi kwa kuwa loyal kwa mtu ambaye mmesota naye pamoja. T.I kafanya vyema. Hawa thots maslei kwini hawaishi hawa na kila siku wanazaliwa.
View attachment 992757
www.bold-beautiful.com (@realberniceburgos) • Instagram photos and videos
Kweli brother,cha muhimu uhai[emoji120][emoji120]Majambo yanasogea bro
Cha muhimu tu wazima wa Afya tu
Familia ya Aaliyah bado wapo kwenye denial naona japo inasemekana walilipwa cheti cha ndoa kikaandikwa yupo 19 wakati alikuwa 15. Nina kabinti bro na kila siku naomba Mungu kasipatwe na hizi kasheshe za kuaR-keliwa.Jamaa kwa kweli nimemdiss sana alikuwa na Tabia mbaya sana, tukija Pata mabinti tujaribu kuwalinda na Mungu akatusaidie kwa kweli