Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaa kwa kweli nimemdiss sana alikuwa na Tabia mbaya sana, tukija Pata mabinti tujaribu kuwalinda na Mungu akatusaidie kwa kweli
Familia ya Aaliyah bado wapo kwenye denial naona japo inasemekana walilipwa cheti cha ndoa kikaandikwa yupo 19 wakati alikuwa 15. Nina kabinti bro na kila siku naomba Mungu kasipatwe na hizi kasheshe za kuaR-keliwa.
 
Pasipoti ni stakabadhi muhimu ambayo humfungulia mtu milango ya kusafiri sehemu tofauti duniani, lakini kwa wengine inadhibiti utangamano wa watu kimataifa.
Lakini ni mara ngapi ushawahi kujipata ukiangalia uhalisia wa paspiti yako kusafiri?
Kuna historia ya kipekee iliyochangia kubuniwa kwa stakabdhi hii muhimu ya usafiri ambayo itakufanya ubadili mtazamo wako kuhusiana na masharti unayotakiwa kutimiza kabla ya kuomba pasipoti .
 
Usifanye mzaha na tarehe ya mwisho ya pasipoti yako kabla ya kupanga safari.
Nchi zingine zina masharti ya kutaka pasipoti yako kuwa sahihi kwa siku 90 baada ya kuingia - ikiwa ni pamoja na nchi nyingi za Ulaya.
Ni vyema kutoa maombi ya pasipoti mpya miezi sita kabla ya tarehe ya mwisho, huo ndio muda inaotakikana nchini China, Indonesia,Urusi, Saudi Arabia na mataifa mengine.
Hatua hiyo itakuepushia madhila ya kukwama katika nchi ya kigeni kwa kukosa namna ya kurudi nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…