Hahahahhaha inafurahisha sana
Yaaani na ninavyo penda ku- cheka sasa dahhHahahahhaha inafurahisha sana
Kicheko ni afya ujue. Hamia na jukwaa la photos utacheka utakavyo hasa uzi wa VAR
Aisee daahh kama ni afya ni jambo jema sana .. ngoja nipitie huko ..nikapate afya ya ubongoKicheko ni afya ujue. Hamia na jukwaa la photos utacheka utakavyo hasa uzi wa VAR
Wapo kwenye dimbwi lao [emoji16][emoji16][emoji16]
Haujaibwa umechukuliwa na wenyewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]