Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9.Majimaji yanayotoka kwenye tezi dume dio chakula cha mbegu za kiume. Kwahiyo mbegu za kiume zinapata chakula kutoka kwenye tezi dume.
Kuvimba Tezi Dume (BPH)
Kwa kadiri mwanaume anavyozeeka, ni jambo la kawaida pia kwa tezi dume kuongezeka ukubwa na kuvimba.
 
Kuvimba kwa tezi dume husababishwa na nini?
Chanzo halisi cha kuvimba kwa tezi au vihatarishi vyake (risk factors) havijulikani kwa uhakika. Kwa muda mrefu imekuwa ikichukuliwa kuwa ugonjwa huu hutokea kwa wanaume watu wazima na wazee tu lakini siku hizi hata vijana.
 
BAADHI ZA TAFITI ZINAONYESHA KUWA HORMONES,UMRI MKUBWA NA MAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO NI VYANZO VYA KUVIMBA KWA TEZI
DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:
-Hukojoa mkojo unaokatika katika
-Hukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
-kuchukua muda kabla ya mkojo kuanza kutoka
-Hali ya kujihisi kubanwa na mkojo kila mara
-Kushindwa kuthibiti mkojo kiasi cha mkojo kutirika wenyewe
-Hali ya kuhisi mkojo haujaisha kwenye kibofu
-Hukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku
-Kushindwa kukojoa kabisa (urine retention)
BAADHI YA MADHARA YA KUVIMBA KWA TEZI:
-Vijiwe kwenye kibofu cha mkojo
-Uambukizi katika njia ya mkojo (UTI)
-Madhara katika figo au kibofu
-Shinikizo la damu
-Kushindwa kutoa shahawa kwenye uume (retrograde ejaculation)
-kupungua kwa nguvu za kiume na kushindwa tendo la ndoa
-Uhanithi
 
HUZUNI KUBWA : Mwanamama Dorcus Mukagatare wa Uganda Afiwa na Familia yake ya watu sita Katika Kipindi cha Mwaka Mmoja... Mapema kabisaa mwa 2018,alifiwa na Mtoto wake Mdogo... Baada ya miezi kadhaa (December 30 - 2018 ) akafiwa na Mumewe pamoja na Watoto wanne ambao walikuwa tayari wamehitimu Vyuo na wanasubiri tu kuanza kazi... Watano hao walifariki kwa pamoja Katika Ajali huku mama huyo akiwa amenusurika... Huzuni iliyoje kwa mama Huyu!!! Comment neno la **POLE kumfariji mama Huyu (MUNGU AMPE WEPESI)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…