moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahahahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2211][emoji2211]*ROHO MBAYA NI NINI ?*
"Ni kitendo cha baadhi ya *Watanzania* Kukosa *Hamu* ya *KULA* wakati Timu iliyofungwa ni ya *ALGERIA*"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baadhi wanamtaka Wenger arudi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Sent using Jamii Forums mobile app
The one and only
Salama mkuuHabari za jumapili wadau wa likes
[emoji120][emoji120][emoji120]Tumshukuru mwenye enzi mkuu kwa afya,uzima,baraka,neema tele anazotujalia kila siku
Mh!!Poleni sana gunners kwa kipigo tena jana
Patachimbika!!View attachment 993089mama janet Magufuli anaweza kufanya hivi kwa TL
Hana chakula[emoji23][emoji23][emoji23]Mgaagaa na upwa hali
Maji madogo!!!Ukiona vyaelea ujue
Ni kuitupa tu....Nazi mbovu
Hajui kupika...Mchagua nazi
Aanguke....Wa juu mngoje
Achinjwe....Jogoo wa shamba
Za woga....Kelele za chura
Timua mbio...Mafahari wawili wakigombana