Huyu mbona hazeeki au ni filters zinafanya kazi?
OK..Jamani duniani kuna watu wa ajabu yaani huwezi amini leo J pili kanisani nilikaa na jamaa m1 anavuta sigara kanisan,aisee!? nilitetemeka nusu nimwage bia yangu!!..
Sent using Jamii Forums mobile app