Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

49701221_133934314220967_5231781526692410312_n.jpg
Daah !!!...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafe maishani.

2. Akatamka mgonjwa, ninaumwa kwelikweli,
Hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali,
Roho naona yachinwa, kifo kimenikabili,
Semeni niseme nini, kiwafae maishani.

3. Yakawatoka kinywani, maneno yenye akili,
Baba yetu wa thamani, sisi tunataka mali,
Urithi tunatamani, mali yetu ya halali,
Sema iko wapi mali, itufae maishani?

4. Baba aliye kufani, akajibu lile swali,
Ninakufa maskini, baba yenu sina hali,
Neno moja lishikeni, kama mnataka mali,
Kama mnataka mali, mtaipata shambani.

5. Wakazidi kumchimba, baba mwenye homa kali,
Baba yetu watufumba, hatujui fumbo hili,
Akili zetu nyembamba, hazijajua methali,
Kama tunataka mali, tutapataje shambani?

6. Kwanza shirikianeni, nawapa hiyo kauli,
Fanyeni kazi shambani, mwisho mtapata mali,
Haya sasa buriani, kifo kimeniwasili,
Kama mnataka mali, mtaipata shambani.

7. Alipokwisha kutaja, fumbo hili la akili,
Mauti nayo yakaja, roho ikaacha mwili,
Na watoto kwa umoja, wakakumbuka kauli,
Kama mnataka mali, mtaipata shambani.

8. Fumbo wakatafakari, watoto wale wawili,
Wakakata na shauri, baada ya siku mbili,
Wote wakawa tayari, pori nene kukabili,
Kama mnataka mali, mtaipata shambani.

9. Wakazipanda shambani, mbegu nyingi mbalimbali,
Tangu zile za mibuni, hadi zitupazo wali,
Na mvua ikaja chini, wakaona na dalili,
Kama mnataka mali, mtaipata shambani.

10. Shamba wakapalilia, bila kupata ajali,
Mavuno yakawajia, wakafaidi ugali,
Wote wakashangilia, wakakumbuka kauli,
Kama mnataka mali, mtaipata shambani.

11. Wakanunua na ng'ombe, majike kwa mafahali,
Wakapata na vikombe, mashine na baiskeli,
Hawakuitaka pombe, sababu pombe si mali,
Kama mnataka mali, mtaipata shambani.

12. Wakaongeza mazao, na nyumba za matofali,
Pale penye shamba lao, wakaihubiri mali,
Wakakiweka kibao, wakaandika kauli...

" Kama mnataka Mali mtaipata Shambani".

Leo tutakoma! [emoji1][emoji1]
 
Hahahahahahah lol! Umenikumbusha juzi nilikuwa sehemu sehemu nikakutana na bidada mmoja kapiga jeans mlegezo chupi yote njeeeee halafu ana kiuno na wowowo bomba sana dah! Mie niko nyuma yake nafaidi kwa macho ila nilishamuona ama kaamka nazo nyingi au kabwia, akaingia sehemu moja watu wengi sana nikajistukia hapa watu watajua niko nyuma ya huyu mrembo nalifaidi hili wowowo kwa macho na chupi yote hadharani. Ikabidi nijikate kiaina 😎😎😎

Goli la tatu la Simba limemfanya shabiki huyu wa Yanga ahamaki kwa hasira na kulitafuta lango la kutokea uwanja wa TaifaView attachment 993624

Sent using Jamii Forums mobile app
 
At United, there are great traditions, which you can't buy in one or two years. They are created by victories. You need to prove again and again that you are better than the others. Manchester United have always done this, and are still doing it, so they are the best.
Cristiano Ronaldo
 
Muungano wa maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SADC, umetoa wito wa kuundwa kwa serikali ya muungano nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia mzozo uliokumba matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika mwezi uliyopita.
Tangazo hilo limetolewa kupitia taarifa ya rais wa Zambia Edgar Lungu.
Afrika Kusini pia inaunga mkono wazo la kubuniwa kwa serikali ya muungano.
 
Hatua hii ya SADC inakuja siku moja baada ya mgombea wa upinzani katika uchaguzi mkuu uliyofanyika nchini Jamhuri ya kidemocrasia ya Congo amewasilisha kesi katika mahakama ya katiba kupinga matokeo ya uchaguzi huo.
Martin Fayulu amesisitiza kuwa alishinda uchaguzi huo lakini tume ya uchaguzi ikamtangaza mshindani wake Felix Tshisekedi kuwa mshindi.
Rais wa Zambia, Edgar Lungu, amesema kuwa wamezingatia "mvutano mkali uliyoibuka" kupinga matokeo ya awali.
 
Back
Top Bottom