Hili ni jambo la kushangaza,"alisema Sarah Huckabee Sanders msemaji wa Ikulu ya Marekani.
"James Comey alifutwa kazi kwasababu alivunja kanuni ya kazi yake," ilisema taarifa yake.
"Tofauti na rais Obama, aliyeacha Urusi na mahasimu wengine kuidhalilisha Maerekani, Rais Trump amechukua hatua."
Mwaka 2016, Mashirika ya ujasusi ya Marekani yalithibitisha kuwa Urusi iliingilia kati uchaguzi wa uraisi wa taifa hilo.