Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Haya ni kuomba Mungu tu kwa sababu likikata waya hapo hakuna cha msalia mtume. Nasubiria siku wakifanikiwa kuunda yasiyotingishika. Siyo haya linatetemeka huku na huko halafu ukiangalia kwenye ramani mko katikati ya Atlantic halafu usiku wa manane. Hovyo sana. Afadhali mitumbwi ya Nansio mara milioni aisee...View attachment 993717
Haya madude sijawahi kujisikia salama kuyasafiria! [emoji1][emoji1]
Haya ni kuomba Mungu tu kwa sababu likikata waya hapo hakuna cha msalia mtume. Nasubiria siku wakifanikiwa kuunda yasiyotingishika. Siyo haya linatetemeka huku na huko halafu ukiangalia kwenye ramani mko katikati ya Atlantic halafu usiku wa manane. Hovyo sana. Afadhali mitumbwi ya Nansio mara milioni aisee...
Unaelekea Nansio ama?Hahaa, kungekuwa na sehemu ya kukatiza kwa miguu, wala yasingenipata kabisa! Ningekuwa nakula denge tu naibukia Nansio! [emoji23][emoji23][emoji23]