Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

305b8f70-0707-410c-ba3d-81284b6d1e7e.jpeg
 
*Simba kama gari la mkaa tu leo barabarani kesho gereji,walishinda Nkana kesho yake wakagongwa na MASHUJAA jana wameshinda waarabu leo wamegongwa na AZAM,sikio la kufa*

Cc Moud [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2211][emoji2211][emoji2211]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ni kuomba Mungu tu kwa sababu likikata waya hapo hakuna cha msalia mtume. Nasubiria siku wakifanikiwa kuunda yasiyotingishika. Siyo haya linatetemeka huku na huko halafu ukiangalia kwenye ramani mko katikati ya Atlantic halafu usiku wa manane. Hovyo sana. Afadhali mitumbwi ya Nansio mara milioni aisee...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
When you start to do the things that you truly love, it wouldn’t matter whether it is Monday or Friday; you would be so excited to wake up each morning to work on your passions.“
Edmond Mbiaka
 
Back
Top Bottom