Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Wameshaiondoa. Ni nani huyo bro? Walimtaja jina?
Haupo uzi ulikua unahusu nini?
Kumbe alijichomesha mwenyewe,apambane tu na hali yake sio makosa ya JF bali ya mhusika mwenyeweMuandishi alidai aliye kamatwa aliwahi kutoa uzi kwamba amempa mimba mwanafunzi anaomba msaada nini afanye pia aliweka namba yake ya simu
Indeed wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Oooh boy !!!Muandishi alidai aliye kamatwa aliwahi kutoa uzi kwamba amempa mimba mwanafunzi anaomba msaada nini afanye pia aliweka namba yake ya simu
Hapo ni siku nzima mke kaenda saluni kusuka [emoji16][emoji16][emoji16]
Na babake huyo hapo pembeni anaangalia dogo anapata heakati...