Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1547406498902.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nasali sana bro. Kuna kupotea mazima kama wale jamaa wa Malaysia. Au kuwa charred beyond recognition japo ni kifo cha haraka kizuri na kisicho na maumivu. Mkianza tu kuporomoka laivu ile G force na mabadiliko ya presha ya ghafla itawafanya mkate netiweki. Mkija kufika huku chini kujibamiza wala hamna habari...

Hatari sana tatizo ndiyo hakuna alternative
Kusali muhimu sana Mimi uzuri wangu nauchapaga usingizi Tu liwalo na liwe
 
Back
Top Bottom