Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

LIGI Kuu England utamu umezidi kunoga kutokana na mchakamchaka wake kufikia patamu kwelikweli. Vita ni kali kwa sasa katika kila idara, kwenye mbio za ubingwa, Top Four na hata kwenye mchakamchaka wa kufukuzia Kiatu cha Dhahabu.
 
Hakuna mchezaji anayetaka kuachwa mbali huko kwenye vita ya kuanzia Kiatu cha Dhahabu kutokana na sasa kuwapo kwa wachezaji watatu waliokabana koo kwa kufunga mabao 14 kila mmoja.
 
Lakini, ligi hiyo imeshuhudia wachezaji wengi waliohusika kwenye mabao mengi na hawa ndio baadhi yao walihusika kwenye mabao yanayoanzia tarakimu mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…