Mshambuliaji wa West Ham raia wa Austria Marko Arnautovic, mwenye umri wa miaka 29, atakamilisha uhamisho wa thamani ya £35m kwenda katika timu ya ligi kuu ya China Shanghai SIPG kabla ya mwisho wa wiki. (Sun)
Sevilla imevunjika moyo kumsajili mshambuliaji wa Chelsea raia wa Uhispania Alvaro Morata, mwenye umri wa miaka 26, kutokana na gharama yake kubwa, na baada ya kukataliwa pendekezo lao la thamani ya £40m. (Evening Standard)
Morata yu tayari kupokea kato la mapato ili kujiunga na Atletico Madrid, itakayohitaji kumuuza mchezaji mwingine ili kuweza kumsajili mshambuliaji huyo wa zamani wa Real Madrid. (Marca)
Morata yu tayari kupokea kato la mapato ili kujiunga na Atletico Madrid, itakayohitaji kumuuza mchezaji mwingine ili kuweza kumsajili mshambuliaji huyo wa zamani wa Real Madrid. (Marca)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.