The one and onlyAmazing grace walahi
Hongera kwa ushindiChelsea wamekubali makubaliano binafsi na mchezaji wa kiungo cha kati raia wa Argentina Leandro Paredes, aliye na miaka 24, na wamewasilisha ombi la thamani ya £27m kwa Zenit St Petersburg. (Mirror)
duh! bora angeacha nywele zake tuSolskjaer anataka kumuondoa Marouane Fellaini na huenda akamruhusu mchezaji huyo wa kiungo cha kati mwenye miaka 31 raia wa Ubelgiji aondoke kwa mkopo mwezi huu Januari. (Talksport)
Shukran mzee wa liver hongera pia kwa kumkimbia man city point nne tuuuuHongera kwa ushindi
Poa malkia wanguIndeed
Me 2
Mamboz?
Kwann jirani?duh! bora angeacha nywele zake tu