Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Na maarusi nao yawezekana si waaminifu pia, haiwezekani ubebe cret kwenye siku muhimu kama hiyo.
Mkuu hali yako, vipi mvua zimekata mitaa yenu ya kabwe, mafiati,ilemi nk?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukute ni harusi ya mhasibu na mchumi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Mkuu nipo hapa hapa mitaa ya Vingunguti machinjioni na biashara yetu (supu ya mapumbu ya mbuzi) ya ukoo.
Mungu akipenda nitarudi kule April nikaionje baridi.
 
Usiku wa kumumunyaaaa
455225217_174623.jpeg
 
Back
Top Bottom