Ukute ni harusi ya mhasibu na mchumi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Na maarusi nao yawezekana si waaminifu pia, haiwezekani ubebe cret kwenye siku muhimu kama hiyo.
Mkuu hali yako, vipi mvua zimekata mitaa yenu ya kabwe, mafiati,ilemi nk?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye kaeneo ketu ka urithi siajabu kakapendeza sana...Wapi hiyo ndugu
Tena sasa ana jamaa mweusi ndiye anamla [emoji16][emoji16][emoji16]Huyu jamaa anasikitisha sana aisee kwahyo watu wanapita nae Tu
Usiku wa kumumunyaaaa
[emoji818][emoji818]
Hawa jamaa hawafai...
Hovyo kabisa yaani...Hawa jamaa hawafai...