Mkuu Ramani yake naweza kuipata hyoKati ya tofari 250 na 300 (tumia inchi 5) zinaweza kutosha kujenga msingi kutegemeana eneo lilivyo. Nondo tisa za milimita 10,tripu tatu za mchanga na tripu 1 ya kokoto na mifuko 10 ya saruji. Kubaliana na fundi kwa malipo ya tofari,kama hauwezi kusimamia, tafuta msimamizi ambaye ni fundi, kubaliana nae malipo ya usimamizi. View attachment 995254