enzi hiyo...
safiDenis Suarez – Barcelona
Habari kubwa ya usajili wa Arsenal kwenye dirisha hili la Januari ni kumfukuzia staa wa Barcelona, Denis Suarez. Mwanzoni ulikuwa mpango wa kutoa pesa, lakini baadaye, Kocha Emery alikuwa akipiga hesabu za kumsajili kiungo huyo wa pembeni kwa mkopo. Emery anamtaka Denis Suarez kwa sababu anafahamu kiwango chake tangu wakiwa pamoja.