myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
waende tu hao..Mwisho wa msimu, Arsenal itampoteza Aaron Ramsey na bila ya shaka itakuwa hivyo hivyo kwa Ozil, hivyo suala la Arsenal kusajili wachezaji wa aina hiyo kama vile Denis Suarez halina kikwazo.
likes.................
likes pande mbili... weka, wekewa
Hatujambo Mkwere wetu [emoji16][emoji16][emoji16]
Safi sana kamanda. Waliosema eti wewe mgonjwa karibu wote wametangulia na kukuacha. 2020 utatoboa !!!
Zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti wa Chama
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Safi sana kamanda. Waliosema eti wewe mgonjwa karibu wote wametangulia na kukuacha. 2020 utatoboa !!!