Asante sana rafiki yangu mwema. Kwa muda mfupi tu umeyabadilisha maisha yangu kabisa. U rafiki wa kweli mwenye uelewa mpana wa mambo mengi yahusuyo maisha, ubinadamu, utu wema, usomi na kumcha Mungu. Kwa hakika nimeokota lulu katika shimo la takataka. Nakuombea tena na tena uishi maisha ya amani, upendo, furaha na matumaini. Mungu hatatuacha. Wewe ni Mwanamke and I mean it. Ubarikiwe hadi utimilifu wa dahari muhebi wangu [emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji8]Asante sana rafiki yangu mwema. Kwa muda mfupi tu umeyabadilisha maisha yangu kabisa. U rafiki wa kweli mwenye uelewa mpana wa mambo mengi yahusuyo maisha, ubinadamu, utu wema, usomi na kumcha Mungu. Kwa hakika nimeokota lulu katika shimo la takataka. Nakuombea tena na tena uishi maisha ya amani, upendo, furaha na matumaini. Mungu hatatuacha. Wewe ni Mwanamke and I mean it. Ubarikiwe hadi utimilifu wa dahari muhebi wangu [emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 997672