Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asee, hivi mnajua kwamba nchi yenu imebarikiwa kiasi kikubwa kwenye maliasiri wanyama pori!!?
Hapa ni magharibi mwa nchi yetu.
KATAVI NATIONAL PARK View attachment 998077

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubaya hawatuambii bana. Kuna hifadhi nilikuwa sijawahi kuzisikia na nimezisikia mara ya kwanza kutoka kwako. Halafu Wakenya wakisema Mlima Kilimanjaro uko kwao tunawakoromea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…