Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Poa fekero kama nakuhisi vile,cowardsawa Mkuu ..pole na kidonda
Kunauma usiombe [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji3][emoji3][emoji3]Uungwana ni kitu cha bure kabisa..
Subira ni kitu muhimu sana
Haya nitakuja mkuu unielekezeKama umepapenda nitafute pm nikuelekeze njia ilipo [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mkuu si vema kuogopa kinyagoKwa nini asijibu? Yaani fyekero limfyekere tu halafu afyekereke kimya kimya?
Karibu wanyama wote wapo wa aina hiyo kama ilivyo kwa binadamuWonders never cease.. kuna Twiga mweupe kama Alien
Dah mi sijamfata Peramiho jameni.. ameamua tu kucomment kilichotawala kichwa chake kwa sanaNiliwahi sikia hayo mafyekeleo, sawa mkuu, ila pia sikua na nia mbaya ni utani tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Twanga foto kachaaaUkifika Katavi National Park lazima upige pichaView attachment 998086
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀😀