Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

simba.JPG
 
Dah mi sijamfata Peramiho jameni.. ameamua tu kucomment kilichotawala kichwa chake kwa sana
Eti " Mafyekero"
Hapa ni jumba la furaha, uzi huu pamoja na urefu wake haujawahi kusababisha kufungiwa yeyote.
Kikubwa ni kujuana, kuzoeana.
Kama siyo fyekeleo karibu jifunze tabia za hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom