Leo angalau tumepata mvua baadhi ya maeneo, tunashukuru AlhamdulillahShukran sana,,huko vp bro??
Nadhani kamepata mtekaji anayejulikana si kama yule aliyekuteka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Acha Romeo afaidi maisha sasa.Chura anayeaminika kuwa wa mwisho wa aina yake katika ulimwengu ameondolewa upweke.
Romeo, anayejulikana kama chura wa pekee ulimwenguni, ameishi miaka 10 ya kutengwa katika hifadhi ya Bolivia.
Wanasayansi wanasema wamempatia mchumba kwa jina Juliet baada ya safari ya kwenda msitu wa Bolivia.
Chura watano wa majini walipatikana katika vidimbwi vya maji na kukamatwa, kwa kusudi la kuzalishana na kupandikiza upya wanyama hao kwenye pori.