Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro bhanaNa mambo yenu ya kona za Bwiru haya tena na wageni mtapoa tu kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani jikoni yatatushinda wengine fullu kuongea na simu.. hatari sanaSijui kama ni kweli sis japo inameki sensi kisayansi. Ndiyo maana masimu ya zamani yale (hata haya ya sasa) ilikuwa inashauriwa kuyazima ukiwa unaweka mafuta kwenye gari kwa sababu vapour zinaweza kuripuka zikiingiliana na mawimbi ya kwenye simu. Hata kwenye gesi sitashangaa hili likitokea. Ni vizuri kuchukua tahadhari.
AseeeView attachment 998467
Salama wapendwa.huyu mwanamke alipokea simu wakati akipika na gesi ikalipuka akaungua. jamani kama mna gesi msipokee simu na ndiyo mana wanasisitiza kwenye petrol stations simu ni kama kibriti au sigara. Forwardia kwa wenzio
Shukran sana,,huko vp bro??
Noma sana (Zoppas voice)[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hatupoi(Zoppa's voice)
🤣🤣🤣Eeh ,,hiyo hyo ya Mwanza,kwani kuna kona ya bwiru tofauti na hii[emoji23][emoji23][emoji23]
Ingawa vya kona ya Bwiru ni vya chumvi?
Mgeni unaijua misemo yote ya kwenye uzi huu. Safi sana aisee. Wengine ilituchukua miezi [emoji122][emoji122][emoji122]
Ushafika kona ya bwiru?
Kuna wazawa hapa ingawa tunaweza kuwaona ni wageni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Napajua Mwanza hiyo sehemu so kutokana na maongezi na nilichokiona kule nimeadd 1+1
Jiandae kwa majanga au laa chukua hatuaYaani jikoni yatatushinda wengine fullu kuongea na simu.. hatari sana
Huyu anko kabsa [emoji23][emoji23][emoji23]Mwakaleli moja [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 998530