Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Umeambiwa unamtania Esta kwa kutumia Fyekero[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Habari za majukumu kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Esta anajua fika siwez mtania,nikifanya hvyo ataniibukia kona ya bwiru ghafra tu na kuniumbua asubuh

Kwema kabsa,habar ya weekend?familia haijambo
 
IMG-20190118-WA0035.jpeg

Salama wapendwa.huyu mwanamke alipokea simu wakati akipika na gesi ikalipuka akaungua. jamani kama mna gesi msipokee simu na ndiyo mana wanasisitiza kwenye petrol stations simu ni kama kibriti au sigara. Forwardia kwa wenzio
 
View attachment 998467

Ule moto kule nyuma ndio wa hiyo simu.. hiyo simu ni superkitochi
 
Back
Top Bottom