Cuteness Alert
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ningeona maajabu bro,misingi yetu lazima ibaki palepale[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yale ni maisha yetu na misingi yetu hatuwezi acha Tamaduni zetu nimecheka sana
Once upon a time.....Tell Me A Story
Amen. Nakutakutakieni weekendays Njema Jukwaa.Hata mimi kwa kweli. Inatosha sasa. Malizieni siku yenu salama na wikiendi ikawe ya mibaraka tele.[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ndio aisee,jamaa alivuta jiko na akabaki kwenye misingi daima,,ndivyo inavyotakiwa kuwa hvyo[emoji109]Safi si unamuona jamaa hapo kwenye Avatar yako
Kweli kabsa,,wanajari sana tamaduni zao.May be wazazi hawakutilia mkazo hasa ukizingatia kuwa ni mixer. Wahaya ni mojawapo ya makabila machache ambayo hata watoto wakulie wapi ni lazima wajue lugha na utamaduni wao. Kuna watoto nawafahamu wamezaliwa kwa Trump lakini wanaongea Kihaya safi kabisa. Mhaya popote alipo na Kihaya chake, ndizi na senene hata asome namna gani...
Furahiday..Leo nimechat sana hapa, I bet ni Mwanzo mzuri wa Weekend Days.
Weekend njema pia bro!Amen. Nakutakutakieni weekendays Njema Jukwaa.
Endelea.....[emoji23]Once upon a time.....
Ahsante sana.Weekend njema pia bro!
Swadakta, wakati ule tuliambiwa alihasiwa ili amchezee malkiaDr. Hastings Kamuzu Banda.
Jamaa hakuwahi kuoa wala kuwa na watoto.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nao wi a tokingi [emoji16][emoji16][emoji16]
Kulikuwa na mfalme....Endelea.....[emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]usijishushe, wewe ni andaeitini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]andaten au andaeitini bro?
Na malkia,,bhasi bhana siku moja....Kulikuwa na mfalme....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee,,,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]usijishushe, wewe ni andaeitini
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee,,[emoji23][emoji23][emoji23]