Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Karibu, PM yangu iko wazi, changamka tukaone Nyumbu wanaohama toka Serengeti Tanzania kwenda Masai Mara Kenya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Safari ni hatua... Huu nouzi?!! Dini inaruhusu si zaidi ya wanne
39327c52bef5856d419f95f1f877d988.jpeg
 
Umekulia BK halafu "naweza kumuelewa mtu akizungumza" tu? Mimi nilikifahamu kabisa mpaka cha ndani ndani huko Kanyigo sema miaka imepita bila kujizoeza ila naweza kupick up kwa haraka sana na demu wa Kihaya akijilengesha namwimbisha tu bila noma [emoji16][emoji16][emoji16]
Mazingira yangu hayakuruhusu pia Tulihama BK nikiwa Darasa la kwanza I guess.

Hakukua na ushawishi/kichocheo chakupelekea kujua Lugha hii.
 
Bro,,kwa hyo zile ngumu ngumu zote kipind hk ulichokamatika hutosikiliza tena??

Serious bro?[emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yale ni maisha yetu na misingi yetu hatuwezi acha Tamaduni zetu nimecheka sana
 
Mazingira yangu hayakuruhusu pia Tulihama BK nikiwa Darasa la kwanza I guess.

Hakukua na ushawishi/kichocheo chakupelekea kujua Lugha hii.
May be wazazi hawakutilia mkazo hasa ukizingatia kuwa ni mixer. Wahaya ni mojawapo ya makabila machache ambayo hata watoto wakulie wapi ni lazima wajue lugha na utamaduni wao. Kuna watoto nawafahamu wamezaliwa kwa Trump lakini wanaongea Kihaya safi kabisa. Mhaya popote alipo na Kihaya chake, ndizi na senene hata asome namna gani...
 
Sure
 
Back
Top Bottom