Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kihaya unakifahamu? Nogambaki?Huku nilipo sizungumzi kihaya na senene hawapo, vyote itawezekana nikirudi UHAYANI.
Kihaya unakifahamu? Nogambaki?Huku nilipo sizungumzi kihaya na senene hawapo, vyote itawezekana nikirudi UHAYANI.
[emoji23][emoji23][emoji23]itaruhusiwa tu,hakuna kibaya juu ya album cover hii wala nyimbo zinazopatikana humoHeh ni Album? sasa jiti lile linalokam thru itaruhusiwa kweli?
Karibu, PM yangu iko wazi, changamka tukaone Nyumbu wanaohama toka Serengeti Tanzania kwenda Masai Mara Kenya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mahaba niue
Nao wi a tokingi [emoji16][emoji16][emoji16]Karibu, PM yangu iko wazi, changamka tukaone Nyumbu wanaohama toka Serengeti Tanzania kwenda Masai Mara Kenya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro,,kwa hyo zile ngumu ngumu zote kipind hk ulichokamatika hutosikiliza tena??Jackson 5 - I will be there
Mambo yanasogea Bro vipi upande huo
Hakinipi shida sana, naweza kumuelewa mtu akizungumza.Kihaya unakifahamu? Nogambaki?
Umekulia BK halafu "naweza kumuelewa mtu akizungumza" tu? Mimi nilikifahamu kabisa mpaka cha ndani ndani huko Kanyigo sema miaka imepita bila kujizoeza ila naweza kupick up kwa haraka sana na demu wa Kihaya akijilengesha namwimbisha tu bila noma [emoji16][emoji16][emoji16]Hakinipi shida sana, naweza kumuelewa mtu akizungumza.
Mf. hapo umeuliza "UNASEMA NINI/UNASEMAJE/UNAZUNGUMZA NINI" kitu kama hicho.
La bia unyoyaGuuu...
😀😀😀 kazi mnayoWanaume mbinguni tutafika kwa karama za Mwenyezi tu na si vinginevyo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 998348
Kawaida tu...[emoji3][emoji3][emoji3] kazi mnayo
😀😀
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂