Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ama ile Member wa kiume anatumia Avatar ya KIKE!

Kuna mmoja nilimtokea PM akanambia "Bro kausha!!"

Dah! Nikagundua utaratibu ni kusoma post za Muhusika kwanza kujua jinsia yake kabla hujazamia PM
Hahahahahaha, duuu. Jf kuna mambo.
Jamaani aliona dalili za kuliwa[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu lazima atakuwa Mhaya tu!

DxIQEhPWsAAX3zo.jpg
 
Back
Top Bottom