Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
455101894_107125.jpeg
 
Jamaa alikuwa na busara tena. Angekwepa kiaina [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Ila jamaa alikula maisha. Wanawake elfu moja duh. Hata ukilala kwa mmoja siku moja moja itakuchukua zaidi ya miaka miwili na ushee kuwazungukia wote. Think about that bro. Na kwa vile alikuwa mfalme wote hawa lazima walikuwa wakali balaa. Jamaa aliishi kwa kweli ndo maana hakuamini uzee na kifo vilipomjia akaishia kuchimba biti kuwa eti yote ni kujilisha upepo [emoji16][emoji16][emoji16]
Lakini mademu nao ukiwafakamia kwa fujo hautainjoy tena.
Sijui kwa maumbile ya baadhi yetu, vinginevyo kwangu naona ni uchafu na kujidhalilisha kwa kufuata matamanio ya nafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utapigwa halafu uje kuanzisha uzi wa ajabu kule MMU [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu nashukuru, ila sijawahi kumpenda mwanamke kwa kuangalia jina, picha yake ya bandia na hoja tu alizoweka mtandaoni.
Labda ningekua andaeitini. Maana tunafundishwa kuwa ujana ni nusu ya uendawazimu, unaweza fanya jambo bila kulitafakari


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom