Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kihaya unakifahamu?Mi nimekulia huko, kwa maara ya kwanza naona mguu wa mwanamke una kisigino ilkua mwanza!
Na baadae nikazoea! Awali nilijua miguu ya wanawake haina visigino!!
Senene unakulaga?