Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Usiku wa donatiUsiku wa kupeana pipii
Usiku wa donatiUsiku wa kupeana pipii
Usiku wa burudani na raha[/QUOTE
Hali ya hewa ni nzuri
Mnapenda vitu vya sukari nyieUsiku wa kona ya bwiru
Wapi nmetaja sukari tena??kwan kona ya bwiru wanazalisha sukar?Mnapenda vitu vya sukari nyie
Duh. Sikuwa nalijua hili. Asante kwa tahadhari hiiView attachment 998467
Salama wapendwa.huyu mwanamke alipokea simu wakati akipika na gesi ikalipuka akaungua. jamani kama mna gesi msipokee simu na ndiyo mana wanasisitiza kwenye petrol stations simu ni kama kibriti au sigara. Forwardia kwa wenzio
Hapo juu mwingine pipii..mwingine donati... kona ya BwiruWapi nmetaja sukari tena??kwan kona ya bwiru wanazalisha sukar?
Aisee,,[emoji23][emoji23][emoji23] lkn hakuna neno sukari hapo juu,,,inaonekana unapenda sukar eehHapo juu mwingine pipii..mwingine donati... kona ya Bwiru
Pipi.. Donut zinatengenezwa na sukari..Aisee,,[emoji23][emoji23][emoji23] lkn hakuna neno sukari hapo juu,,,inaonekana unapenda sukar eeh
[emoji23][emoji23][emoji23] aya bhnaPipi.. Donut zinatengenezwa na sukari..
Ingawa vya kona ya Bwiru ni vya chumvi?Aisee,,[emoji23][emoji23][emoji23] lkn hakuna neno sukari hapo juu,,,inaonekana unapenda sukar eeh
Mgeni unaijua misemo yote ya kwenye uzi huu. Safi sana aisee. Wengine ilituchukua miezi [emoji122][emoji122][emoji122]Ingawa vya kona ya Bwiru ni vya chumvi?
Ushafika kona ya bwiru?Ingawa vya kona ya Bwiru ni vya chumvi?
Sijui kama ni kweli sis japo inameki sensi kisayansi. Ndiyo maana masimu ya zamani yale (hata haya ya sasa) ilikuwa inashauriwa kuyazima ukiwa unaweka mafuta kwenye gari kwa sababu vapour zinaweza kuripuka zikiingiliana na mawimbi ya kwenye simu. Hata kwenye gesi sitashangaa hili likitokea. Ni vizuri kuchukua tahadhari.
Napajua Mwanza hiyo sehemu so kutokana na maongezi na nilichokiona kule nimeadd 1+1Mgeni unaijua misemo yote ya kwenye uzi huu. Safi sana aisee. Wengine ilituchukua miezi [emoji122][emoji122][emoji122]
Na mambo yenu ya kona za Bwiru haya tena na wageni mtapoa tu kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]Hatupoi(Zoppa's voice)
😀Ya Mwanza?Ushafika kona ya bwiru?[/QUOTE
Wewe ni mwenyeji wa Mwanza?Napajua Mwanza hiyo sehemu so kutokana na maongezi na nilichokiona kule nimeadd 1+1