moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahaha jamaniii ..Ooooh sikuona...
Afadhali yeye kajiweka wazi. Siyo kama wewe unayetuchora tu na kutukwoti kila posti hata hatukujui bana [emoji16][emoji16][emoji16]
kama hupendi ni ku quote sema tu kiungwana kama yule alioamua kunitusi bila sababu ..Ooooh sikuona...
Afadhali yeye kajiweka wazi. Siyo kama wewe unayetuchora tu na kutukwoti kila posti hata hatukujui bana [emoji16][emoji16][emoji16]
kama hupendi ni ku quote sema tu kiungwana kama yule alioamua kunitusi bila sababu ..
Lakini ukituma kitu nikipenda nakiongelea..si ndio chatting jameni ..chit chat
Huh? wa "Majini" tena?
Navumilia nisiquote hii..Dah
No"Mnafiki hatamki neno, paka asikie minong'ono.
Je ni kweli.?
Muhogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Navumilia nisiquote hii..Dah
Pole sanaWameniibia bby
#WAHUNI SIO WATU WAZURI