Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Man United hawapo kwenye mbio za ubingwa, lakini anaamini wakipambana na kushika namba tatu ndani ya siku chache zijazo, basi jambo hilo litawafanya Liverpool na Man City kupata ugonjwa wa kutetemeka.
Man U wamekumbuka shuka wakati kumekucha, sidhani kama timu hiyo inaweza kuwa tishio kwa Man City na Liverpool msimu huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…