Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Record mbaya za mnyama Simba*

1.Mwaka 1978 Simba 1-8 Enyimba

2.Mwaka 1980 Al ahly 9-0 Simba

3.Mwaka 1984 Petle atletico de Angola 6-0 Simba,

4.Mwaka 1989 Simba 2-8 solfa ya Gabon

5.Mwaka 1991 Yanga 4 -0 kipindi cha kwanza Simba walivyo ona dhahama kipindi cha pili hawakurudi uwanjani

6.Mwaka 1996 All hilaly 5-0 Simba

7.Mwaka 1999 Sesco 4-0 Simba,

8.Mwaka 2005 Simba 0-4 Enyimba

9.Mwaka 2007 Enyimba 5-0 Simba [emoji1371][emoji205]

10. Mwaka 2012_Liboro de Angola 5-0 Simba [emoji1371][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]na,

11 mwaka 2019 As vita 5-0 Simba [emoji1371][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Poleni sana Mashabiki wa Simba si mlitaka kumbukumbu au siyo??
 
Hii waliponea kidogo washuke daraja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…