moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Unamaanisha Yesaya Mwailolo, au yule Bima zama zile, MwaikamboKama unaikumbuka NIC ya zamani chini ya yule mnyakyusa ndio utaujua undugu wa hii "miamba" miwili.
Tumshukuru Mungu kwa afya na uzima tulio nao. Jumapili imekwendaje huko mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app