Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

455028089_14301.jpeg
 
Heli ya jp mdai wangu: Sito choka kukwambia kuwa mbali na.:Maji ya Mto hukabiliana na vikwazo mbalimbali lakini huwa haviuzuii maji kutiririka. Mto unapokutana na Miamba, hata siku moja hauwezi kujadiliana na miamba eti upiteje, bali hutengeneza njia yake juu ya mwamba huo.
.
Mto unazo nguvu kiasi ya kwamba binadamu hujenga madaraja juu yake ili waweze kuuvuka, na pale unapojaa huweza kubomoa hata daraja.
.
Jitihada huwa hazizidi kudra, hebu kuwa kama mto. Usijadiliane na vikwazo unavyokubaliana navyo. Iwe ni kazi, mahusiano, ama umasikini.
.
Kwa imani ya kiwango cha juu, tengeneza njia yako na pita kwa kujiamini. Mungu atakuinua kama alivyowalinda Shadraki, Meshaki na Abedinego. Maana siku zote Ulipendalo hupati, hupata ujaaliwalo.
.
Furaha ya maisha yako inategemeana na quality ya mawazo yako. Mawazo yako ni kama sumaku, endapo utawazia baraka, utazivuta baraka na endapo utawaza matatizo, matatizo yatakuwa ni kimbilio kwako..
.
Siku zote palilia na kukuza mawazo mazuri, jiwazie mawazo mazuri maana aliwazalo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo.
.
.
Natamani sana niwe na maneno sahihi ya kukwambia, natamani niwe na mistari iliyojaa matumaini itakayokufanya ujisikie amani ila fahamu kwamba, Kilimia kikizama kwa jua, huzuka kwa mvua, na kikizama kwa mvua, huzuka kwa jua.
.
Nikueleze jambo moja tu kwamba, weka tumaini lako lote kwa MUNGU na sio kwa Wanadamu. Kila jambo huwa na majira na msimu wake, Hamadi ni ilio kibindoni, na silaha ni iliyo mkononi.
.
There is victory at the end of your suffering. Don't give up.

#SHARE

Birionea Bee
FB_IMG_1547806281186.jpeg


we thought GOD AM NUTHINFJamii Forums mobile app
 
Vimbaumbau vibishi hivi vikigongomelewa likigongo vinakuwa vipole tu kwa sababu vinakuwa vulnerable sana siyo kama majimama ambayo yana tekiniki za kupunguza mzamo wa mkito. Tufunge na kusali bila kuchoka ili katoke salama huko kaliko...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji16][emoji16][emoji16]kwema kamanda, habari za huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom