Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28] do you know that [emoji6] Drone bees are killed immediately after mating with the queen bee ndio zisiende na huko zikisema ati queen ni majimaji.??? [emoji23][emoji23][emoji23]


I thought you should know [emoji38][emoji38][emoji28]
 
Wasukuma na wanyakyusa mmetofautiana nini mkuu?[emoji16][emoji16][emoji16]
Habari za jumapili kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaikumbuka NIC ya zamani chini ya yule mnyakyusa ndio utaujua undugu wa hii "miamba" miwili.
Tumshukuru Mungu kwa afya na uzima tulio nao. Jumapili imekwendaje huko mkuu?
 
Back
Top Bottom