myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji23][emoji23]
Kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wagonjwa Mungu awaponye...mm nnaumwa !
Naogopa , ntakufa
Naomba mniombee !
Am serious , niombeeni wakuu !
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli sijui. Mi nataka likes tu basi mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]aisee haka katoto kanaitwa nan kwa majina
[emoji106]Kwa kweli sijui. Mi nataka likes tu basi mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Mbagala full kujiachia aisee. Sitakaa nihame ng'o...Kwako huko kwema? Naona unamwaga parabozi za kufa mtu. Natumaini safari hii ni za kweli. Kama shemeji yupo hapa mzindue please...na usipotee kwq sababu wazinduaji na wazinduliwa wana tabia ya kupotea sijui kwa nini [emoji16][emoji16][emoji16]Habari gani Bro, wazima mbagala hapo
Kwisha habari yake...Karudi kwenye sili silali nikinywa maji nakuona kwenye gilasi [emoji16][emoji16][emoji16]Bro hahaha
Mkuu wa Wilaya [emoji16][emoji16][emoji16]