andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Yaruhusu magumu yapite, hatuwezi kuyatatua yote sawa mamaangu. Mambo mengine yanaisha kwa kuyaweka wazi kwa mtu wako aliye jirani, unao majirani wengi sana humu, niwe mkweli wanasaidia sana. Ongea na Pyaar, ongea na Shimba, ongea na Myoya, ongea na Yego, ongea na carba, ongea na..... Wapo wengi sana.Hahahaha eti mjukuu,jumapili mbaya sana kwangu,huu mwaka nataman uishe mapema ila ndo kwaaaanza umeanza duh
Mimi usijaribu, maana bado lile somo la mlonge sijalifanyia majaribio,natafuta konokono....